Saturday, May 23, 2015

CHINA NA SHERIA ZAKE

China na Sheria zao, huyu aliendesha kamari isivyo halali..

A woman is handcuffed in the Creative Media Institute production 'Ensuring Child Safety: In Abuse and Neglect Referrals.' (Submitted Photo) JAN13
Guo Meimei ni mmoja ya mastaa wakubwa kwenye social network China, jina lake limetajwa pia kuhusishwa na ishu iliyoibuka mwaka 2014 kwamba alikuwa anaendesha genge la wahuni waliokuwa wanachezesha kamari  bila kuwa na kibali.
Tumezoea kuona kwenye kurasa za mastaa wa kibongo kwenye mitandao ya kijamii wanaonesha nyumba zao, magari na utajiri wao.. hata Guo Meimei nae ni staa aliyekuwa anaishi maisha ya hivyohivyo China.
china
Guo Meimei
Alikamatwa kwa kosa la kufungua banda la kuchezesha kamari bila kusajiliwa, kesi iko Mahakamani na kama akikutwa na hatia basi hukumu yake huenda ikawa miaka 10 jela.
Guo ni maarufu sana China ambako wao wanatumia zaidi mtandao wa Sina Weibo ambao uko kama Facebook na Twitter… Kama ulidhani ishu ya kamari ni kitu kidogo Sheria ya China iko hivyo na hukumu yake !!
Usiwe mbali nami, kuwa karibu nikosogezee kila kinachonifikia kupitia hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment