Tuesday, May 26, 2015

JE, NAWE SOKONI UENDAKO KUNA UCHAFU KAMA HUU?

 Mkazi wa Ngamiani Tanga akipita kwenye rundo la dampo la takataka eneo la Gulio la Tangamano ambalo limekuwa kero kwa wateja na wafanyabiashara kwa kutoa harufu kali na wadudu wachafu kuzagaa hadi maeneo ya biashara.




No comments:

Post a Comment