Tuesday, May 26, 2015

KANYE WEST WAKATI WA FUNGATE LAO ITALY

Post ya Kanye West @Twitter imeonesha jinsi anavyoipenda familia yake !!

family
May 24 couple ya mastaa Kim Kardashian na Kanye West walitimiza mwaka mmoja wa ndoa yao tangu walipofunga mwaka jana Italy.
11325150_831777363538645_1636262877_n_gallery_main
Wawili hao walitumia nafasi hiyo kuweka kwenye mitandao picha mbalimbali za harusi yao ambazo hazikuwahi kuonekana.
11311890_1635886363313729_1869063837_n_gallery_main
Mbali ya picha hiyo Kanye West leo aliamua kuweka ujumbe mzuri kwenye ukurasa wake wa Twitter ambao ulikua maalum kwa ajili ya mkewe pamoja na mwanae, North West.
11312325_799906616784120_291358984_n_gallery_main
Ujumbe ulisomeka hivi..; >>> “Kim, I’m so happy to be married to the girl of my dreams… I love you and Nori so much!!! I would find you in any lifetime“>>> @kanyewest
kanyeee

Kim aliiona post hiyo, nae akajibu; >>> “Awwww baby I love you so much!!!!!! I would find you too! Anywhere!!!!“>>>@KimKardashian
Kim's Post

No comments:

Post a Comment