Friday, May 22, 2015

HAWEZI PATA USINGIZI BILA KULALA NA MBWA WAKE

Hawezi kulala bila mbwa wake

Hillary Barrows living in car in Asda car park because she won't give up dogs
Hillary Barrows (pichani) ambaye amedai kuwa hawezi kupata usingizi bila kuwa na mbwa wake pembeni hata akiwa safarini ni lazima kulala na mbwa hao.
Vituko hivi si mara ya kwanza tangakumekuchablog kuviripoti ila hii imekuwa gumzo katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
 Hutopitwa na habari inayonifikia na niko tayari kukutumia muda na wakati wowowte kupitia hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment