Sunday, May 24, 2015

DROBA AIAGA RASMI CHALSEA

Huu ndio uamuzi aliotangaza Didier Drogba kuhusu Chelsea

 
Ligi kuu ya Uingereza leo inafikia ukingoni, huku klabu ya Chelsea wakiwa ndio mabingwa wa ligi hiyo.
Siku ya leo itakuwa ina mchanganyiko wa furaha na huzuni kwa mashabiki wakereketwa wa Chelsea, kwa sababu watakuwa wanakabidhiwa kombe lao rasmi lakini pia itakuwa ndio mwisho wao kumuona gwiji wa klabu hiyo Didier Drogba akiwa anaichezea timu hiyo.
Kupitia akaunti yak rasmi ya mtandao wa kijamii wa Instagram – Drogba ametangaza kwamba leo ndio itakuwa siku yake ya mwisho kuitumikia Chelsea dimbani
   Hutopitwa na habari inayonifikia na niko tayari kukutumia wakatoi wowote kupitia hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment