Saturday, May 23, 2015

KITUO CHA MABASI MUHEZA


 Wafanyabiashara kituo cha mabasi Muheza Mkoani Tanga wakitafuta wateja kupitia madirisha ya vioo vya  basi LEO. Wafanyabiashara hao wamekuwa wakivunja kanuni za kuvaa sare za kuwatambulisha kituoni hapo ikiwa na lengo la kuepuka vibaka kujingiza na kuwaibia abiria.










Kwa habari na matukio kemkem ndani na nje ya nchi  usiache kuwa karibu nami kupitia hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment