Monday, May 25, 2015

MUME AKUBALI YAISHE BAADA YA KUGUNDUA MKE WAKE ANA UHUSIANO NJE YA NDOA

Mke wa mtu akaamua kumkusanyia watu na ngoma mwanamke ambaye ana uhusiano na mumewe kwa siri..

Couple
Ishu ya mwanamke mmoja kulalamika kuwa mume wake ana uhusiano na mwanamke mwingine nje.. hii ilimkwaza kwa kipindi kirefu na alipomwambia aachae nae anamdanganya kwamba wameachana lakini uhusiano wao unaendelea chinichini.
Siku moja alikuta simu ya mwanamke huyo imesahaulika kwenye gari ambayo alikuwa nayo mume wake, akaamua kumtafutia watu wa kwenda kumsema kutokana na tabia hiyo.
Mwanamke huyo aliamua kwenda na watu hao mpaka Kimara ambako mwanamke huyo mwenye uhusiano na mumewe anafanya shughuli zake.. baada ya kufika na kundi hilo la watu, mwanamke huyo alishtukia akakimbia.. watu wakaanza kumkimbiza.
Hutopitwa na habari inayonifikia na niko tayari kukutumia muda na wakati wowowte kupityia hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment