Monday, May 25, 2015

MFUKO WA AFYA YA JAMII NSSF TANGA YAFANIKISHA UCHANGIA DAMU

 Mkazi wa Mabawa Tanga, Ali Juma akitoa damu kupima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) jana wakati wa kampeni ya upimaji na utoaji wa damu salama kwa hiari zoezi lililofanywa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika viwanja vya Tangamano kwa siku mbili.


 Mkazi wa Mabawa Tanga, Asha Faudhi, akitoa damu kupima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) jana wakati wa kampeni ya upimaji na utoaji wa damu salama kwa hiari zoezi lililofanywa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika viwanja vya Tangamano kwa siku mbili.
 Mkazi wa Majanimapana Tanga, Rashid Ramadhani, akitoa damu kupima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) jana wakati wa kampeni ya upimaji na utoaji wa damu salama kwa hiari zoezi lililofanywa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika viwanja vya Tangamano kwa siku mbili.
Mkazi wa Chuda Tanga, Hamis Ramadhani, akitoa damu kupima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) jana wakati wa kampeni ya upimaji na utoaji wa damu salama kwa hiari zoezi lililofanywa na Mfuko wa Hiafadhi ya Jamii (NSSF) katika viwanja vya Tangamano kwa siku mbili.

No comments:

Post a Comment