Hii mpya ya Chui kunasa kwenye chungu cha maji huko India isikupite…
Taarifa hiyo iliripotiwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo na kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ambapo katika video alionekana chui huyo akijitahidi kujitoa lakini haikuwezekana hadi walipokuja maafisa wa wanyama pori.
Iliwachukua zaidi ya masaa sita kwa maofisa hao kuweza kufanikisha zoezi hilo la kumtoa kisha kumrejesha kwenye hifadhi yake.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment