Nyani wazima kituo cha redio Zimbabwe
Nyani wasumbufu katika kijiji cha Zvishane mjini Zimbabwe wamedaiwa kukizama kituo kimoja cha cha redio.
Mkuu
wa kituo cha cha YA FM ,Munyaradzi Hwengwere, ameliambia gazeti la la Serikali Chonicle kwamba kundi la nyani lilikula nyaya za fibre optic
katika radio hiyo wakati wa kipindi cha asubuhi na kukilazimu kukosa
kwenda hewani kwa saa moja.Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment