Mpiga picha wa tukio la Mauaji ya Mwangosi afariki Dunia
Siku moja
baada ya mahakama kuu kanda ya Iringa kutoa hukumu ya kwenda jela miaka
15 kwa mshtakiwa wa kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa kituo cha
television cha channel Ten Daud Mwangosi.
Leo July
28 2016 taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba aliyepiga picha ya tukio
la mauaji ya Mwangosi, Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima,
Joseph Senga amefariki dunia akiwa nchini India alikopelekwa kwa ajili
ya mataibabu ya ugonjwa wa moyo.
millardayo
No comments:
Post a Comment