Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27)
MAHAKAMA kuu ya Tanzania kanda ya Iringa leo imemuhukumu
kwenda jela miaka 15 kwa kosa la mauaji ya bila kukusudia askari
wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mwenye namba G .2573 Pacificius
Cleophace Simon (27) aliyemuua mwandishi wa habari wa kituo cha
Chanel Ten Daudi Mwangosi
No comments:
Post a Comment