Waislamu wajiunga na wakatoliki katika ibada


WaIslamu zaidi ya
mia moja wamejumuka na Wakatoliki katika sala iliyohudhuriwa na waumini
wengi katika Kanisa moja huko Rouen, Ufaransa.Mauaji ya hivi karibu kabisa yaliyotekelezwa na wapiganaji wa Kiislamu, yameshtua Ufaransa.
Kasisi huyo wa umri wa miaka 86, Kasisi Jacques Hamel, aliuwawa akiwa kwenye maombi
No comments:
Post a Comment