daraja litakalojengwa chini ya maji Norway
Daraja hili limejengwa chini ya
maji nchini Norway kwenye kivuko kati ya Kristiansand na Trondheim ndani ya mwendo wasaa 21 kwa gari kupitia daraja ilo.
Daraja
hili limetajwa kujengwa ndani ya miaka saba mpaka nane ingawa bado
wanafanya tafiti za kigeografia na pia daraja hili litajengwa kati ya
futi 65 mpaka 100 iwasaidie wananchi kuvuka kirahisi kwa safari kama za hospitali ambazo inapekelekea watu kupanda helikopta.
Mradi huu utakua wakwanza duniani kujengwa kwa daraja hili nchini Norway.
No comments:
Post a Comment