DARAJA LA AMBONI TANGA
Kingo za daraja la Amboni barabara ya
Horohoro, Mombasa Tanga zikiwa zimebomoka jambo ambalo linahatarisha usalama wa
vyombo vya moto na wapita kwa miguu.
Daraja hilo ambalo nikiunganishi ya jiji la Tanga pamekuwapakitokea ajali ya mara kwa mara.
No comments:
Post a Comment