Watu 26 wameripotiwa kufariki China leo
Basi la watalii lililowaka moto likiwa barabarani wakielekea uwanja wa ndege wa Taoyuan, Taiwan, China.
Wakiendelea kuzima moto huo.
Watu 26 leo wameripotiwa kufariki kwenye ajali ya basi la watalii
lililowaka moto likiwa barabarani wakielekea uwanja wa ndege wa Taoyuan,
Taiwan, China.
No comments:
Post a Comment