Mwendesha pikipiki maarufu kama
bodaboda akiwa amesheheni baskeli akipita barabara ya Korogwe Road eneo la
Kange Zigi.
Bodaboda huyo ambaye alizifunga baskeli zake bila kuweka ishara ya kuonyesha kupakiza mzigo ambao unaweza kuwa hatari kwa watumiaji wa barabara hiyo kama alivyokutwa mapema leo asubuhi na camera za tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment