Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Old Tanga, wakijisomea
kwenye bustani ya Forodhani kujiandaa na mitihani yao ya kidato cha nne ambayo
itanza leo.
Tangakumekuchablog inawatakia kila la heri watahiniwa wote wanaofanya mitihadi na Mungu awape ufahamu na ukumbusho na kuweza kufanya vizuri na kuyafikia malengo yao ya kufikia elimu ya juu.
No comments:
Post a Comment