Saturday, November 5, 2016

MAISHA, UTAFUTAJI WA RISIKI SHAMBA HADI MJINI TANGA



 Mfanyabiashara wa kuuza kuni na mkaa mkazi wa Choongoleani Tanga akiteremsha mlima wa Amboni daraja la mto Mkurumuzi barabara ya Tanga Horohoro Tanga kwenda Tanga mjini kutafuta wateja wa kuni. Baiskeli moja ya kuni iliyosheheni alikuwa akiuza 20,000. Na kunia  moja la mkaa lilikuwa likiuzwa 30,000.






No comments:

Post a Comment