Thursday, November 3, 2016

SANAA, UBUNIFU WA KUWEKA MAUA NYUMBANI



Fundi wa kutengeneza mitungi ya maua Chumbageni Tanga, Hashimu Rashid, akipanga mitungi yake kusubiri wateja. Mtungi mmoja alikuwa akiuza 15,000 hadi 30,000 kutokana na ukubwa wake na michoro ya maua.






No comments:

Post a Comment