Friday, February 20, 2015

AJALI YA MOTO MAENEO YA CENTROL BAKERY TANGA PICHAZ

 Askari wa kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokozi Tanga wakijaribu kuzima moto uliotokea jana  jioni nyumba iliyoko  karibu na karakana ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) eneo la Centrol Bakery na kuunguza vitu mbalimbali vya thamani vya ndani na chanzo kikidaiwa kuwa hitilafu ya umeme.



  Wakazi wa maeneo ya Centrol Bakery na Eckenford Tanga wakiangalia nyumba ikiungua iliyoko karibu na karakana ya shirika la umeme Tanzania (Tanesco) jana jioni na inadaiwa chanzo kikiwa ni hitilafu ya umeme.


No comments:

Post a Comment