Tuesday, February 24, 2015

JAMII YAMTOLEA UVIVU SHANGAZI

Pale ambapo watu wanaamua kumpiga shangazi ambaye anamfungia mtoto ndani

aa-child-sad-e1310471422247 story kutoka Mabibo Dar, watu waliamua kumshambulia kwa kipigo shangazi aliyemfungia mtoto mdogo wa miaka mitatu ndani.
Wananchi wamesema mara nnyingi wanamsikia mtoto huyo analia lakini siku hiyo alilia kwa muda mrefu huku akiomba msaada, waliposogea kwenye nyumba wakagundua kuwa amefungiwa kwa ndani,  wakafanya jitihada za kuingia na kumtoa, wakaka nae nje mpaka shangazi yake huyo aliporudi.
Shangazi wa mtoto amesema mtoto huyo ametoka Arusha kwa baba yake kwa ajili ya kumtembelea, kitendo cha mazoea yake kumfungia mtoto ndani kiliwakwaza wengi wakaanza kumpiga shangazi huyo.
Hii ni kumekuchablog

No comments:

Post a Comment