Thursday, February 26, 2015

WILL SMITH ATOA KIONJO KWA WASHABIKI WAKE

Will Smith na hii trailer ya movie yake mpya ya ‘Focus’ akimshirikisha Margot Robbie…

wiloWill Smith ni miongoni mwa mastaa waliofanikiwa kufanya vyema kupitia uigizaji na tayari ameshafanya vizuri katika katika baadhi ya movie zake kama ‘Independent Day’, na ‘After earth’  iliyotoka mwaka 2012
Wapenzi wa movie sasa wanaweza kuwa na subira kidogo baada ya staa huyo kutoa trailer ya movie yake mpya inayoitwa ‘Focus’ ambayo amemshirikisha mwanadada Margot Robbie.
wilo2
Movie hiyo itaanza kuonekana rasmi kesho February 27.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment