Thursday, February 26, 2015

ALI KIBA NA SINGLE YAKE MPYA

Ni time ya kuziona hizi kava zinazoikaribisha single mpya ya Ali kiba

.
.
2015 ni mwaka wa neema ambao kila msanii ameendelea kutoa single mpya kwenye vituo mbalimbali vya radio,  sasa time hii tunaungana na msanii wa Bongo Fleva, Ali kiba ambaye naye yuko mbioni kuachia single mpya tarehe 27 mwezi huu.
Leo Feb 25 kupitia instagram  ame teaser kava mbili ambazo zikidhihirisha ujio wa single mpya, kava moja ilikuwa imeandikwa Cheketua na la pili imeandikwa Chekecha.
Kaa tayari kwa ujio huo mpya kutoka kwa Ali kiba.
Chekaaaaaa `111
.
.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment