Monday, February 23, 2015

DON JAZZY NA P SQUARE NA VIDEO SOKONI

Wakali kutoka Nigeria safari hii wako na wasanii wa Bondeni

cl2Oya baby make me collabo! ni maneno yanayosikika kwenye ile Ile Collabo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu huku mashabiki wengi wakiamini kupata burudani ya aina yake kutoka kwa wakali wa Nigeria  P-Square wakimshirikisha boss wa mavin record star Don Jazzy, video ambayo ilifanyiwa Afrika Kusini siku chache zilizopita ikiongozwa na kaka wa P-Square anaeitwa Jude Okoye akishirikiana na Clarence Peters, wimbo unaoitwa Collabo.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment