Thursday, February 26, 2015

WATATU WATEKETEA KWA MOTO BAADA YA LORI LAO KURIPUKA, MORO

Watu 3 Wateketea Kwa Moto Baada ya Lori La Mafuta Kupinduka na Kuwaka Moto

Watu watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kuteketea kabisa akiwemo dereva na utingo wake baada ya lori la mafuta kuacha njia na kupinduka na kuungua  katika eneo la Maseyu barabara ya Morogoro Dar es Salaam.


Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wakiwemo madereva wa malori ambapo walikuwa wakisafirisha mafuta  amesema lori hilo lilikua limesheheni mafuta ya Dezel  ilikua ikitokea Dar es salaam kwenda jijini Mwanza ambapo ilipoteza uelekeo na kupinduka kisha kuwaka moto.





No comments:

Post a Comment