Thursday, February 19, 2015

KERO YA MAJI KIJIJI CHA BAGUI TARAFA YA MLALO WILAYANI LUSOTO,TANGA

 Wakazi wa kijiji cha Bagui Tarafa ya Mlalo Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wakipanga foleni ya maji kutokana na shida ya upatikanaji baada ya kisima hicho kutegemewa na vijiji vinne na muda ya uchotaji wa maji ni saa 12 asubuhi hadi saa 7 mchana na kufunguliwa tena saa 10 za jioni hadi saa moja usiku  ikiwa ni utaratibu uliowekwa.




No comments:

Post a Comment