Wednesday, February 25, 2015

KIKONGWE WA MIAKA 90 AFANYA MAZOEZI YA NGUVU

Tazama babu wa miaka  90 akifanya zoezi la nguvu.

Babu
Kama una time asubuhi au jioni inashauriwa kwamba mazoezi ni muhimu kwa afya, nakupa hii sasa ya huyu mzee ambaye umri wake ni miaka 90 na hapa yuko zake anapiga mazoezi yani kama kawaida.
Babu II
Babu IIi

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment