Friday, February 27, 2015

NDEGE YAANGUKA NA KUUNGUA YOTE MWANZA

PICHA ZA NDEGE YA JESHI ILIYOANGUKA

Muonekano wa ndege  ya jeshi baada ya kuanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza.(Picha na Mtandao)
NDEGE ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kusambaratika wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu.
Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya injini za ndege hiyo ilipotaka kuruka, ikashindwa na kuanguka.
Hutopitwa na habari muda na wakti wowote na peruzi kila wakati kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment