Wednesday, February 25, 2015

DEVID BECKAHAM KUPEWA TUZO MAALUMU

Mchango wa David Beckham kwenye soka, tuzo hii maalum ni kwa ajili yake…

bekMkongwe wa soka dunia David Beckham amedhihirisha kuwa alitumia vyema nafasi yake uwanjani na kujenga jina kabla hajaamua kustaafu mchezo huo na kuendelea na maisha ya kawaida.
Beckham ambaye alizichezea klabu kama Manchester United na Real Madrid anatarajiwa kupewa zawadi maalum ya mkongwe wa soka itakayofanyika September mosi katika maadhimisho ya miaka 20 ya HMV Football Extravaganza.
Staa huyo ambaye kwa sasa ana miaka 39 atapewa tuzo hiyo kama ishara ya kuonyesha mchango wake katika soka duniani ambapo pia sherehe hizo zitakua mahususi kwa ajili ya kusaidia kuchagia fedha za kusaida wasio.
Hata hivyo Beckham mwenyewe alishukuru kuona anapewa heshima kama hiyo na kusema anajiona mwenye bahati kwani wapo wengi ambao walistahili kupata tuzo hiyo.
I’m incredibly honoured to be receiving this award, when you look at the list of the previous recipients, I feel very fortunate to be considered alongside them. ‘More importantly the night is about recognising the fantastic work that Nordoff Robbins does and raising funds for their vital work.’
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment