Tuesday, February 24, 2015

UMRI MKUBWA , MAWAZO YA KITOTO

Umri, matendo yake na cheo cha Gavana huyu wa Nigeria ndio vinamuweka ktk headline

wpid-governor-fashola-addressing-the-tfaa-team.jpgJapo kifo hakizuiliki, wengi hawapendi kuzungumzia ishu za kifo kwa kuzihusisha nafsi zao, lakini kulikuwa na stori moja kutoka Kenya, mzee alikuwa anaomba msaada Serikali kuingilia kati kwa ajili ya kuokoa shamba lake lisiuzwe, ndani ya eneo la shamba hilo kulikuwa na kaburi ambalo alijichimbia miaka mingi iliyopita.
Babatunde Fashola ni Gavana wa Jimbo la Lagos Nigeria, ameingia kwenye headlines naye, amesema ameshajilipia kaburi lake miaka minne iliyopita, haogopi kifo na anajua kuwa siku moja atafariki tu hivyo sio vibaya akiandaa kabisa makazi yake ya baadaye.
It is the truism of life, everyone who comes must go so as we are building hospitals, roads, schools, imbibing survival strategy, we must also plan for the end. This sounds like something people don’t want to discuss. I have bought my vault. It surprises people. I paid for it four years ago. As I always tell people, if you come here for life you must plan to go. Those who don’t want to go, should not come“– Fashola.
4444
Kaburi ambalo Gavana Fashola amejiandalia.
Gavana huyu ana umri wa miaka 51, moja ya story ambayo iliwafurahisha wengi kuhusu yeye ni ile ya kujipiga zake SELFIE wakati Gavana wa zamani wa Lagos Bola Tinubu akiwa anahutubia.
Gavana Fashola na Selfie yake
Gavana Fashola na Selfie yake
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www/tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment