Wednesday, February 25, 2015

MBWA AAGWA KISHUJAA NEW JARSEY, MAREKANI

Pale ambapo ‘mbwa mstaafu’ anaagwa kwa heshima kabisa na gwaride..

judge24n-11-webMbwa mmoja wa Polisi huko New Jersey Marekani wenye umri wa miaka nane aliyefanya kazi kwa miaka minne amelazimika kustaafu kutokana na afya yake kuwa mbaya.
Mbwa huyo wa Polisi ambaye anaitwa Judge amepewa heshima na kuagwa kishujaa, kaandaliwa na gwaride pamoja na kupigiwa saluti na Polisi tukio ambalo lilishuhudiwa pia watu wa haki za wanyama.
judge24n-11-webJudge alikuwa anastaafu kama mbwa wa Polisi kwenye kituo kimoja West Deptford, New Jersey ambapo alitakiwa kustaafu tangu mwaka 2013, kutokana na maradhi ya meno na pia afya yake kuwa sio nzuri.
police-dog-sultan2
Watu wa haki za wanyama walishauri mbwa huyo ‘astaafishwe’ na pia apelekwe kupatiwa matibabu katika Hospitali ya wanyama ya Swedesboro.
img-2764-1-2048x1152-20150223-160806-799
IMG_2746
Huu ni msafara wa gari zilizombeba mbwa huyo.
police-dog-sultan
judge24n-9-web
Tukio hilo sio geni sana kwa wenzetu, kuliwahi kuwa na story ya ishu ya mbwa mmoja wa Polisi ambaye alizikwa kwa heshima kama ambavyo huwa mazishi ya askari yanafanyika.
Screen-Shot-2014-10-12-at-1.19.48-PM
Shughuli za mazishi ya mbwa.
 Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitiawww.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment