Thursday, February 19, 2015

MASTAA NA VITU VYA GHARAMA

Mwimbaji gani wa Afrika Mashariki kanunua hii Audi? pichaz iko hapa

Audi 1Mastaa wa Afrika Mashariki wanaotajwa kuwa na magari ya kifahari ni wachache akiwemo Jaguar wa Kenya ambae ana Range Rover pamoja na Jaguar yenyewe.
Mmiliki mwingine wa headline hizi kwa kitambo ni Jose Chameleone ambae amechukua headline kwenye awamu hii tena kwa kumiliki gari aina ya Audi ambazo zimekua zikitengenezwa na Mjerumani toka miaka hiyo ya 1932.
JChameleone 1Hapa chini kuna hii video akiwa analiendesha gari lake jipya ambapo pia kama haitoshi amemzawadia mke wake Range Rover nyeusi kama zawadi ya Valentine.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu , niko tayari kukutumia wakati www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment