Wednesday, February 25, 2015

TUNASHUHUDIA KUAPISHWA

  Mohammed Balozi akiwa na baiskeli yake akifuatilia kuapishwa kwa Wakuu wa Wilaya wapya, Mariam Juma anaenda Lushoto na Husna Rajab anaekwenda Handeni leo  katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
 


 Wageni na ndugu na jamaa pamoja na viongozi wa dini wakifuatilia kuapishwa kwa wakuu wa Wilaya wapya, Mariam Juma Lushoto na Husna Rajab wa Handeni, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga.

No comments:

Post a Comment