Friday, February 27, 2015

UHONDO , UMERUDI HEWANI

Tangakumekuchablog,
Wapendwa watazamaji wa blog hii napenda kuwatakeni kumradhi kwa wiki moja Hadithi ya Yaliyonikuta Tanga haikuweza kuonekana.
Hii ni kutokana na dharura mbalimbali zikiwemo za kiufundi na hivyo ni furaha yetu kuwa kuanzia leo Uhondo huu utakuwa hewani.
Usisite kutoa maoni yako kwa ujembe mfupi wa maneno kupitia simu 0655 340572  au 0713 340572 au ukashea nasi kupitia blog hii.
Hadithi hii itaonekana punde na sio muda mrefu , tuwe pamoja 
Tangakumekucha kimbilio la Mabloggers

No comments:

Post a Comment