Friday, February 27, 2015

MABILIONEA LAKINI WAISHIA KUKAA NYUMBA ZA KUPANGA

Baada ya Jay Z na Beyonce, Justin Bieber naye amepanga kwenye mjengo huu…

bibaJay Z na Beyonce waliamua kuendelea na maisha yao kwenye nyumba ya kupanga baada ya kukosa nyumba ya kununua yenye hadhi waliyoitaka.
Justine Bieber naye kajisogeza Bevery Hills, maeneo ambayo mastaa wengi wanaishi kama Jay Z na Bey, JLO, Taylor Swift na wengine wengi.
Hizi ni baadhi ya picha za nyumba mpya aliohamia kwa sasa Bieber.
biba2
biba3
Katika nyumba hiyo ambayo kwa mwezi amekuwa akilipia kiasi cha dola 35,000 ina vyumba vya kulala vitano, mabafu sita, sehemu ya kuogelea na vitu vingu vua kuvutia.
biba6
Hii ni mara ya tatu kwa staa huyu kupanga nyumba tangu ahame kwenye nyumba yakeiliyokuwa eneo la Casabasas.
biber5Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment