Saturday, February 21, 2015

WIMBO WA DIAMOND WASHINDWA KUTAFSIRI KWA KIINGEREZA

Jinsi mitandao ya Nigeria ilivyoshindwa kutafsiri jina la wimbo wa Iyanya wa Diamond ‘Nakupenda’ kwa kingereza

.
.
Tangu msanii wa Nigeria, Iyanya aiichia single mpya iitwayo Nakupenda aliyomshirikisha Diamond Platnumz, mitandao mbalimbali ya Nigeria imeonekana kushindwa kutafsiri jina la wimbo huo kwa lugha ya kingereza.
Mitandao hiyo ilikuwa ikitafsiri jina la wimbo huo unaoitwa Nakupenda kwa lugha ya Kingereza kama Marry Me, Remember, ambapo tafsiri sahihi la neno Nakupenda ni I LOVE YOU.
Hii ni baadhi ya mitandao ambayo imeonekana kushindwa kutafsiri jina la wimbo huo kwa lugha ya kingereza  ikiwemo, Uncova.com, audiomack.com, Feva tv.com, tooxclusive.com, jaguda.com, naijaurban.com na mengineyo.
.
.
.
.Niko tayari kukupatia stori kukupatia kila inayonifikia kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment