Wednesday, May 13, 2015

AMKA NA MAGAZETI NA TANGAKUMEKUCHABLOG

Magazeti yanaletwa kwenu kwa hisani kubwa ya kituo cha Elimu Cha Candle Education Centre Tanga, Kituo kinaongoza kufaulisha wanafunzi kidato cha pili na cha sita. Pia kituo kinatoa kozi ya Kiingereza na Computer na kutoa huduma ya Hostel. Wapo Tanga mkabala na Bank ya CRDB simu 0715 772746

Nakukutanisha na Uchambuzi wa Magazeti leo Mei 14 #PowerBreakfast

Kila siku asubuhi na mapema tangakumekuchablog inakupa kurasa mwanzo mwisho kujua nini  kimejiri ndani na nje ya nchi, ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment