Sunday, May 10, 2015

BAADA YA KURANDARAMBA , SASA JAY Z NA BEYONCE NDANI YA MJENGO WAO

Pichaz 10 za mjengo mpya wa Jay Z na Beyonce

bey4
Kuna wakati Beyonce na mumewe Jay Z waliamua kuishi hotelini kwa muda wakidai hawajaona nyumba ya kununua kwa ajili ya wao kuweza kuishi.
Ni hivi karibuni Jay Z ametajwa na jarida la Forbes kushika nafasi ya tatu kwa utajiri akiwa na zaidi ya dola milioni 500 kwa mastaa wa Hiphop wenye utajiri mkubwa zaidi.
Sasa stori iliyochukua headlines ni wawili hao ni kuamua kununua nyumba ya kifahari yenye thamani ya pauni milioni 2.6 iliyopo New Orleans Garden, Marekani.
Jengo hilo kabla ya kukarabatiwa lilikuwa ni makumbusho.
Tazama picha za mjengo wao hapa.
bey
bey10
bey3
bey4
bey5
bey6
bey7
bey8
utama
Yote haya unayapata hapa hapa tangakumekuchablog, kuwa karibu nami na nitakusogezea kila kinachonifikia

No comments:

Post a Comment