Thursday, May 7, 2015

CHALSEA YAMNG'ANG'ANIA PITER CECH

Kauli ya Chelsea kuhusu hatma ya kipa wao Petr Cech.

mpiraa
Klabu ya Arsenal ilikua katika harakati za kumnasa kipa wa mabingwa wa ligi kuu ya England Chelsea, Petr Cech lakini sasa  ndoto zao zimeyeyuka.
Meneja msaidizi wa Chelsea Ray Wilkins amesema klabu yao haiwezi kumruhusu kuondoka kipa huyo ambaye ni chaguo la kwanza la klabu hiyo na ambaye amecheza kwa mafanikio makubwa.
coach
Petr Cech akiwa na meneja wake
Cech ambaye amedumu ndani ya Chelsea tangu mwaka 2004, ameisaidia klabu hiyo kwa kiasi kikubwa ikiwemo kutwaa mataji mara nne.
Dalili za kuondoka kwa kipa huyo zilikuwa wazi lakini zimezimwa na meneja wa klabu hiyo baada ya kusema hatakwenda popote.

No comments:

Post a Comment