Zuma ataka uchaguzi kuahirishwa Burundi
Rais wa Afrika ya kusini Jacob Zuma amekuwa kiongozi wa hivi karibuni anayetaka uchaguzi wa urais nchini Burundi kuahirishwa.
Akizungumza
baada ya mkutano wa kieneo nchini Angola, Zuma alisema kuwa
uchaguzi huo haupaswi kufanyika hadi hali ya amani itakaporudi nchini
humo.
Rais wa taifa hilo amekana madai ya kutaka kulipiza kisasi dhidi ya watekelezaji wa shambulio hilo.
No comments:
Post a Comment