Monday, May 18, 2015

VIMBWANGA VYA MASTAA

Baby shower ya Tiwa Savage ilivyokuwa jana ndani ya boti !!

tiwa2
Hivi karibuni familia ya Tiwa Savage na mumewe Tee Bills wanatarajia kupata mtoto wa kwanza tangu walipofunga ndoa yao Novemba 26, 2013.
Jana ilikua baby shower ya staa huyo kutoka Nigeria ikiwa ni sherehe ya kujiandaa kwa ajili ya kupata mtoto wake.
Tiwa Savage anatarajia kupata mtoto wa kiume.. Jana walikutana yeye pamoja na marafiki zake kwenye boti, baby shower ndio ilifanyika hapo.
tiwaaaaaaaaa
glas

zomea

tiwaa
tiwa6
tiwa5
tiwa3
tiwa2
tiwa12
tiwa11
Yote haya unayapata hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment