Thursday, May 7, 2015

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI MKINGA TANGA


Mwanafunzi wa shule ya Sekondari  ya Gombero Wilayani Mkinga MkoanI Tanga, Mwabai Heri, akionyesha utaalamu wa kuchanganya kemikali za maabara wakati wa sherehe za  wiki ya Elimu Wilayani Mkinga leo asubuhi.


Mwanafunzi wa shule ya Sekindari ya Mapatano Wilayani Mkinga Mkoani Tanga, Haruni Justics, akionyesha utaalamu wa kuchanganya kemikali za maabara wakati wa sherehe za wiki ya Elimu Wilayani Mkinga leo asubuhi.



Wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari Wilayani Mkinga Mkoani Tanga, wakisherehekea wiki ya elimu iliyofanyika kiwilaya Wilayani humo leo asubuhi.


No comments:

Post a Comment