

Watu wa kujitolea wanasaidia katika juhudi za kuwaokoa nyangumi karibu 100 waliokwama kwenye ufukwe wa bahari.Takriban nyangumi 300 walifariki usiku katika ufukwe wa Farewell Spit, katika kisiwa cha Kusini, katika kisa ambacho kinatajwa kuwa kibaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo.
Mamia ya raia wa kujitolea wakisaidiana na maafisa wa uhifadhi wa wanyama na mazingira wanafanya juhudi za kusaidia kuwarejesha nyangumi hao baharini.
No comments:
Post a Comment