Sunday, February 12, 2017

KOREA KASKAZINI YARUSHA KOMBORA KOREA KUSINI

Korea Kaskazini imefanya majaribio kadha ya makombora mwaka uliopitaKorea Kaskazini kwa mara nyingine tena imefyatua kombora na kulielekeza upande wa pwani ya Japan.
Maafisa wa kijeshi kutoka Korea kusini wamekadiria kombora hilo limesafiri umbali wa kama kilo mita 500 hivi.
BBC

No comments:

Post a Comment