Monday, February 6, 2017

NCHI 10 ZANAZOONGOZA KWA UJAMBAZI DUNIANI, AFRIKA IMO

Nchi 10 zinazoongoza kwa matukio ya wizi na ujambazi Duniani, Afrika iko 1

Uhalifu upo kila sehemu duniani lakini kuna sehemu ambazo zimevunja rekodi kwa kuwa na matukio mengi ya uhalifu yakiwemo ya wizi na ujambazi. ambapo kwa mujibu wa takwimu za kimataifa za uhalifu  hizi ndio nchi zinazoongoza kwa uhalifu huo.
10. Marekani

9. Uruguay

8.Ecuador

7. Ubelgiji

6. Afrika Kusini

5. Costa Rica

4. Mexico

3. Jamhuri ya Dominika

2. Argentina 

1. Chile 

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment