Thursday, February 16, 2017

WAKAZI WA NGOMENI MOJA MUHEZA TANGA WAHAHA USIKU WA MANANE KUSAKA MAJI



Wakazi wa Ngomenimoja kata ya Ngomeni  Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiwa katika foleni ya maji ambapo huamka usiku wa saa 9 kuwahi maji na upatikanaji wake ni wa shida.
Wilaya ya Muheza Tanga inakabiliwa na changamoto ya miaka mingi ya ukosefu wa maji na wananchi wake kutegemea ya mvua na mito ambayo sio salama kwa matumizi ya binadamu.






No comments:

Post a Comment