Wednesday, February 15, 2017

RPC TANGA ATANGAZA VITA WASAFIRISHAJI WATUMIAJI NA WAUZAJI WA MIRUNGI



Kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Benedict Wakulyamba, akionyesha bunda 2 za mihadarati aina ya mirungi kati ya 23 iliyokamatwa juzi katika kizuizi cha polisi Korogwe ikisafirishwa kwa gari kupelekwa Dar es Salaam. 
Wakukyamba ametangaza vita kwa safirishaji, wauzaji na watumiaji wa madawa hayo na kusema kuwa hatamuonea huruma mtu wala kumuangalia machoni zaidi ya kumpelekea katika vyombo vya sheria.





No comments:

Post a Comment