Saturday, February 11, 2017

SOKA UWANJANI





Mshambuliaji wa timu ya Kagera FC, Abdalla Athumani, akigombea mpira na mchezaji wa Super Sports, Ali Alawi wakati wa mchezo wa ligi ya Tanga Cup uwanjwa wa Mkwakwani jana, Super Sports ilishinda kwa mabao 2, 0.
Michuano hiyo inaendelea uwanja wa Mkwakwani 



Kiungo wa timu ya Super Sports Hussein Zola (5) , akigombea mpira na mchezaji wa Juma Ramadhani wakati wa mchezo wa ligi ya Tanga CIP uwanja wa Mkwakwani jana, Super Sports ilishinda kwa mabao 2, 1.

No comments:

Post a Comment