Tuesday, February 28, 2017

KERO ZA WANANCHI KOROGWE TANGA



Mkazi wa kijiji cha Magundi Tarafa ya Bungu Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, Ali Mdoe akitoa kero ya uhaba wa maji wakati wa mkutano wa wananchi ulioitishwa na Mbunge wa Korogwe Vijijini , Stivin Ngonyani juzi.




 Mkazi wa wa kijiji cha Kwashemshi Tarafa ya Bungu Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, Hoza Ali Hoza, akitoa kero yake wakati wa mkutano wa wananchi ulioitishwa na Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stivin Ngonyani juzi.



No comments:

Post a Comment